Swahili Translations by Fr. Chediel Mloka
Leo ni mkesha wa Krismas… Siku imekuwa ndefu kwangu na imeishia misa ya usiku ikifuatiwa na misa nzuri ya watoto
Katika masomo ya Misa ya Juma hili tumeona tofauti kati ya Zakaria kwa upande mmoja na Maria na Yosefu kwa
Si mara nyingi napenda tabia ya kusubiri. Ninakuwa mchangamfu na kutamani mambo yafanyike. Ipo nguvu fulani tunapofanya mambo yafanyike, tunaona
Je ninajiona mwenyewe kuwa napenda kukosoa wengine? Je ninapata shida ujinga kidogo? Je siko mvumilivu kwa makosa ya wengine? Nina
Sisi ni sehemu ya kitu kikubwa kuliko sisi wenyewe. Tunajitambua pale tunapojitoa, pale tunapo watakia mema kwa wengine, tunakuwa na
Hofu ni kitu chenye nguvu, hofu yenyewe si kitu kibaya, kama hatuna hofu ya hatari tusingesalimika. Tunapokuwa kwenye hatari kuna
Leo tunasherekea Sikukuu ya kukungiwa dhambi ya asili Bikira Maria. Maria kwa kweli ni kiumbe kama sisi. Kama tulivyo sisi
Leo ni Sikukuu ya Mtakatifu Ambrose. Alikuwa ni Afisa wa Kirumi katika eneo lililozunguka Milan Kaskazini mwa Italia. Alikuwa anajiandaa
Mt. Nikolas alikuwa ni Askofu katika kanisa la mwanzo huko Myrna, ambayo sasa ni sehemu ya Uturuki. Aliishishi katika karne
Jumapili ilikuwa ni Sikukuu ya Mtakatifu Francis Xavier. Alikutana na Mtakatifu Inyasi wa Loyola wakati akiwa masomoni Paris alikokuwa anasomea